matukio burudani injili uimbaji maisha sanaa muziki maigizo habari maajabu vichekesho maendeleo mafanikio uchumi lugha maono mahubiri nyimbo biblia siasa

Jan 25, 2017

HII YA JOEL LWAGA SASA2 IMEFIKA...

NEW GOSPEL RISING STAR -JOEL LWAGA:
"Ungana nami jumapili hii asubuh kuanzia saa kumi na mbili asubuh mpaka saa tatu asubuh nikitambulisha audio ya wimbo wangu mpya uitwao #ananipenda utakaosikika kwa Mara ya kwanza katika kipind cha #GospelTracks ya @cloudsfmtz na baada ya hapo wimbo huo utakuwa YouTube kwa ajili yako kusikiliza na kudownload....nikuandae tu kuwa ni ladha ya tofauti kabsa ambayo hujawah kuisikia kutoka kwangu na naamin utabarikiwa kwa namna ya tofauti, tafadhali share na watu wengi iwezekanavyo juu ya habar hii njema... "
Cc;@pushuprecords@dicksongriper@noelgiotz@benson_zauso
Artwork by @ajgraphicstz

#heavencultureonearth

Angalia hizi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...