"Tarehe 5/3/2017 Nitakuwa nikifanya Ibada ya Kusifu Na Kuabudu katika Jiji la Arusha Ukumbi wa metropole Mkazi wa Arusha Na Vitongoji vyake njooni Tuungane pamoja sikuhiyo Kumsifu Mungu wetu katika uzuri wa Utakatifu wake Share Na wengine habari hii usikoseeee."