Nimemshangaa Mungu ....HAKIKA BABA huzoeleki.
Kuna hatua mwanadamu hapigi hadi YEye mwenyewe ameruhusu upige.
Unaweza kuwa na kila sababu, nguvu, uwezo,pesa na kila MTU anakuona kama unavyotamani,lakini HAITOKEI kwa sababu, KUNA HATUA MTU AKIPEWA KUFIKA BILA UTHABITI WA NIA zinageuka kuwa KUFANIKIWA KWA MPUMBAVU ambapo mwisho wake ni KUANGAMIA.
KILA MBIO TUNAYOIPIGA MWAKA HUU,ISINDIKIZWE NA MUONGOZO WA ROHO MWENYEWE.
HEKIMA YA MWANADAMU NI UPUMBAVU MBELE ZA MUNGU.
BABA UTUSAIDIE."