JOEL LWAGA:
"Wapendwa wangu wa Morogoro na vitongoji vyake tarh 3 Feb yaani ijumaa ijayo woote tukutane pale Calvary Assemblies of God (morogoro) katika #nightofbliss natarajia kuwaona wapendwa wangu from Mzumbe, SUA, Jordan na wengineo wengi, karibu katika usiku utakao badilisha maisha yako! Tutaimba zoote #UNAWEZA na #ANANIPENDA na ileeee nyingne hahaha mkaribishe na mwngne"
#heavencultureonearth