KELVIN WEBER:
Kwa maana nitamimina maji juu yake aliye na kiu na vijito vya maji mahali pakavu....je, Una kiu ya kujazwa tena ? Unataka kurejeshewa furaha ya wokovu wako? Unataka Kufanywa mshindi? Njoo kwenye ibada ya UJAZO.... Pale bonde la baraka EAGT sakina......Hakika Mungu atakutana na ww.. Isayah 44:3
#ujazo#
#Kelvin Weber
#Prophetic singing
#music is life.