BABA SOLLY MAHLANGU TENA KWENYE SAMA YAANI SOUTH AFRICA MUSIC AWARD AKIIBUKA MSHINDI KATIKA KIPENGELE CHA BEST TRADITIONAL FAITH MUSIC ALBUM
CHINI: BABA SOLLY MAHLANGU AKIWA KATIKA MOJA YA PICHA HUKU AKIIMBA NA WATAZAMAJI
MAHOJIANO YA MWANZONI KABLA YA EVENT HII YALIKUWA HIVI:
MTN HOSTING SHUGHULI NZIMA YA SAMA (SOUTH AFRICA MUSIC AWARD) LOGO
KIZURI SIKU ZOTE CHAHITAJI MAANDALIZI. HAPA NI VIJANA WAKIFANYA MAANDALIZI YA TUKIO LENYEWE
Pamoja na vipengele vingi sana kwenye hizi tuzo zinazotolewa na MTN hizi ni baadhi ya gospel Music categories ambazo zilishindaniwa na walioshindanishwa ni kama ifuatavyo:
BEST CONTEMPORARY FAITH MUSIC ALBUMwalioshindani ni:
Joe Niemand-Ek Sal Nie Bang Wees Nie
Martin PK-Man On A Mission
Swazi Dlamini-Gospel Meets Jazz – Live In Durban
The Plain Truth-We Are The Shining Ones
We Will Worship-The Movemeant Begins
BEST TRADITIONAL FAITH MUSIC ALBUM
walioshindanishwa ni:
Kgotso-New Dawn
Nqubeko Mbatha-Forever I'll Worship
Sfiso Ncwane-Kulungile Baba
Solly Mahlangu-Mwamba Mwamba
Soweto Spiritual Singers
Best Traditional Faith Music Album
Solly Mahlangu for Mwamba Mwamba
IYELELE TEAM INAMPONGEZA SANA BABA SOLLY MAHLANGU KWA SABABU KUU MBILI:
-KWA KUKUBALI KUFANYA NYIMBO ZA INJILI KWA KUTUMIA UTAMADUNI WA NYIMBO ZA KIAFRICA
-KWA KUTUMIA LUGHA ZOTE ZA AFRICA BILA KUBAGUA ( KUMBUKA MWAMBAMWAMBA NI NYIMBO YA KISWAHILI) AMBAYO NDIYO IMEMPA USHINDI.
Kifupi ni kuwa watu wengi ambao ni waafrica hawajajua uthamani wa lugha zao na tamaduni zao ambazo zikitumiwa vyema zinamtukuza Mungu vile zilivyo. Wanamuziki wa south africa ni mfano wa kuigwa kwa kujikubali na kutokubali kutumia western styles kumsifu Mungu . Mapambio yao ni ya ladha za utamaduni. kucheza kwao hakuna hata chembe ya umagharibi. kuvaa kwao pia katika nyimbo nyingi huvaa kiutamaduni. Solly ambaye mara ya kwanza aliibuka na Obrigado ambayo ni lugha ya hapo jirani Msumbiji alipokelewa vizuri sana. ndani ya hiyo album ya Obrigado ameimba pambio la kiswahili linaloitwa ebaba pokea sifa. huwezi amini imebidi watu washangae jinsi alivyolipanga pambio hili na kuonekana kama wimbo mpya kabisa masikioni. Ubunifu wake wa hali yajuu sana ndiyo nguzo katika maonesho yake yakuvutia sana kwenye majukwaa. hufurahisha na huchangamsha sana akiwapo jukwaani.akiwashirikisha watazamaji wote. album iliyo fuata ameimba mwamba mwamba ambayo ni kiswahili. na kuna nyimbo nyingi kama wahamba nathi siyabonga na nyinginezo nyingi. Solly amestahili kabisa tuzo hii.
Keep it up baba Solly usilale wakilisha popote pale na karibu Tanzania...........
ANGALIA BAADHI YA TRACK ZA SOLLY HAPA CHINI
STAGE YA SAMA SO MCHEZO
OBRIGADO ALBUM YAKE SOLLY MAHLANGU
WAHAMBA NATHI YAKE SOLLY
JESO KONYAMA
SOLLY ft keke and zanele
ANGALIA BAADHI YA TRACK ZA SOLLY HAPA CHINI
STAGE YA SAMA SO MCHEZO
OBRIGADO ALBUM YAKE SOLLY MAHLANGU
WAHAMBA NATHI YAKE SOLLY
JESO KONYAMA
SOLLY ft keke and zanele