Theme: Inspirational Evening.
Kuna Mtupio? Touch Of Red.
Band gani itakuwepo? : Gospel Singers (NLO)
Nani atafanya Comedy? :Chavalla and Pilipili.
Nani ataongea?: Lucy Yona and Godfrey Mwanga.
Wapi?: Charity Hotel (Sakina).
Lini? tarehe 27 April, 2012.
Saa ngapi? 1800--2200
Kuna kiingilio? 15,000
Kuna nini na nini: Dinner, Live Band, Business Presentations, Networking, Games, Kwaito and Comedy.
PICHANI NI BWANA SAM SASALI AMBAYE NI BLOGGER PIA NA MUANDAAJI WA FRIENDS ON FRIDAY EVENTS TANZANIA
SOURC; http://samsasali.blogspot.com/