Find more music like this on G5 world
LYRICS YA DUNIA IMEKWISHA
He heh eheeeeeeeeeeeeee heeeee
Dunia imekwisha ewe baba yangu
Dunia imekwisha ewe mama yangu
Tazama maasi yameongezeka aa aa
Ugaidi nao umekithiri iii iii
Watoto wetu nao wanaharibiwa,
Wanabakwa kila kukicha,
Vijana wetu wanaharika,
Ushoga nao umewakumba vijana.
Nasikitika
Chorus:
nasikitika nasikitika aaa
Watumishi wa Mungu wanasahau zamu zao ooh
Wanaingia mitego hiyo hawatambui ii
Wangetambua wangekemea kwa nguvu zotee ee
Wengi wao wamezishupaza shingo zao
Wanajua haya yanamchukiza muumba
Mungu naye kawapa kisogo,
nao wanadhani kuwa ni salama
wuwuwuu wuuwuuwu uuuu
Hasira yake Mungu itakapowaka,
Hakuna awezaye kupingana nayo,
Dunia hii akiba ya moto,
itakunjwa kunjwa isibakie
mimi nasikitika
Chorus:
nasikitika nasikitika aaa
Watumishi wa Mungu wanasahau zamu zao ooh
Wanaingia mitego hiyo hawatambui ii
Wangetambua wangekemea kwa nguvu zotee ee
Mababa wengine hawaona haya, Eti wanazini na mabinti zao ooh,
Wasichana nao wanauza miili yao,Wasomi nao wanakula rushwa,
Maaskofu nao wanashindana,Kanisa sasa jukwaa la siasa,
Vijana nao hawana heshima, wanatukana mababa zaoo
Tuamie wapi sayari nyingine, ninasema leo watajalipia wasipojalii wokovu huu wa bure
Watajalipia watajalipia watajalipia
Chorus:
nasikitika nasikitika aaa
Watumishi wa Mungu wanasahau zamu zao ooh
Wanaingia mitego hiyo hawatambui ii
Wangetambua wangekemea kwa nguvu zotee ee